Muhammad.com collection in 109 languages

  • Swahili_2_Biography_of_the_Prophet, page : 51

mifupa yake kubomoka na hivyo kusababisha kuanguka kwa mbavu zake.
Mambo haya ya miujiza yalishuhudiwa na raia wote waliokuwepo Makka na matokeo yake mwaka ulijulikana kama "Mwaka wa Tembo" na pia ilikuwa katika mwaka huo huo ndipo Mtume wetu mpendwa alizaliwa.